
Moses Machali
Mgombea ubunge jimbo la Kasulu mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Moses Machali amepoteza jimbo hilo baada ya mgombea wa CCM Daniel Sanze kuibuka mshindiMoses Machali ndiye aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini, amepata kura 22,512 na mshindi Daniel wa CCM amepata kura 25,336. #kandiliyetuUpdates
Note: Only a member of this blog may post a comment.