Monday, October 12, 2015

Anonymous

Mapumziko ya Cristiano RONALDO Akiwa Kwa Waarabu Morocco na Vituko Vyake...[PICHAZ]


Cristiano Ronaldo yupo Morocco baada ya kuifanikisha timu yake ya Taifa ya Ureno kupata ushindi wa bao 1-0 na kufuzu Euro 2016..sasa yupo zake mapumzikoni akila bata na bondia wa uzito wa juu Badr Hari.

Baada ya ushindi huo staa huyo wa Real Madrid alichukua nafasi hiyo kwenda kula bata na rafiki yake huyo huku moja ya picha walizopiga inamuonyesha Ronaldo akiwa amebebwa na bondia hiyo na kuandikia ujumbe wa utani kuwa wameoana.
 

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.