Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga.
Kada
wa CCM ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda, akihutubia
wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Kahama mkoani Shinyanga leo
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Chrisopher Ole Sendeka akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani
Shinyanga.
Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa, Angela Kizigha, akisalimiana na
Mjumbe wa NEC, Gasper Kileo katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo
katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Mgombea
Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige akisalimia wananchi wakati
msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hasaan ulipozuiwa na wananchi katika eneo la Nundu mkoani Shinyanga leo
Mgombea
Ubunge jimbo la Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akikimbia kuwahi gari
lake, bada ya kusalimia wananchi wakati msafara wa Mgombea Mwenza wa
Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hasaan ulipozuiwa na wananchi
katika eneo la Nundu mkoani Shinyanga leo
Wananchi wakiwa katika shamrashamra wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita leo
Wananchi
wakiwa na bango kumfikishia ujumbe, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika
leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani Geita
Mgombea
ubunge jimbo la Nyang'wale Hussein Amar akiomba kura wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Geita
Mkuu
wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa (kulia) akijadiliana jambo na wajumbe wa
kamati ya kampeni za CCM kitaofa, Angela Kizigha na Christopher Ole
Sendeka katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Nyag'wale katika mkoa huo leo
Swaga za wananchi a jimbo la Nyang'wale
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang'wale mkoani
Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani
Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Mama
akiwa amekwenda na watoto wake, kumshuhudia Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan msafara wa Mgombea huyo
ulipoziwa na wananchi katika eneo la Tinde jimbo la Msalala mkoani
Shinyanga, wakati ukiwa njiani kwenda Kahama mkoani humo leo
Baadhi
ya wasanii wa Bongo Movie wakishushwa kwenye Pick Up walipowasili
kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
Wasanii
wa Bongo Movie wakiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano
wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan, uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga
Kiongozi
wa kundi la kamapeni za CCM la Mama Ongea na Mwanao, Steven Mangele
maarufu kwa jina la Steve Nyerere, akihamaisha wananchi wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani
Shinyanga leo
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Kahama mkoani Shinyanga

Wasanii
wa kundi la kampeni la Ninesttuka, wakishambulia jukwaa kuhamasisha
wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Kamaha mkoani Shinyanga
Mgombea
Ubunge jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Jumanne Kishimba, akiomba kura
kwa wananchi, katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Shinyanga.
Baadhi
ya viongozi wa CCM wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wakiwa kwenye
mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika katika jimbo la kahama leo
Note: Only a member of this blog may post a comment.