LOWASSA Ashindwa Kuhutubia Tunduma, Mbeya...Licha ya Umati wa Wananchi Kufurika!
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua. Katika team yake ya kampeni hakuna aliyepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.