Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, October 8, 2015
Anonymous
LOWASSA Apiga Kampeni Ya Kufa Mtu Namanga na Arumeru Magharibi...Leo Kutikisa Arusha Mjini! [PICHAZ]
Mh. Edward Lowassa akiwa kwenye viwanja vya shule ya msingi Namanga, kwenye mpaka wa Namanga jana Jioni 7/10/2015
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Mringa, Jimbo la Arumeru Magharibi, Jijini Arusha jana Oktoba 7, 2015.
Note: Only a member of this blog may post a comment.