Thursday, October 29, 2015

Anonymous

LOWASSA Afunguka Kuhusu Taarifa Zinazosambaa Kuwa Amekubali Kushindwa Uchaguzi wa Rais na Kustaafu Siasa!

Edward Lowassa
Kupitia Ukurasa wa Facebook unaitwa Chadema Pameandikwa Taarifa kuwa Edward Lowassa Amekubali kushindwa Urais na Ameamua Kupumzika Siasa...

Edward Lowassa Mwenyewe Ameibuka kupitia Ukurasa wake Halali wa Facebook na kukanusha juu ya habari hiyo na kusema ni za uzushi
Ameandika Haya hapa:
"Taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba nimekubali kushindwa katika Uchaguzi wa Rais ni za uwongo, Ninaomba zipuuzwe" Lowassa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.