Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, October 27, 2015
Anonymous
Jimbo la Morogoro Mjini Kwa ABOOD wa CCM: Matokeo Rasmi ya Ubunge Haya Hapa
Jimbo la Morogoro Mjini: Abdulaziz Abood wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 99748, dhidi ya mpinzani wake wa karibu Albanie Mathew wa Chadema, aliyepata kura 45502.
Note: Only a member of this blog may post a comment.