Thursday, October 8, 2015

Anonymous

Dr. SLAA, Anzisha Chama Kipya cha Siasa (Advice to Dr. Slaa in Public)

Nina nia ya dhati kutoa ushauri kwa Dr. Slaa katika kipindi hiki kigumu kwake katika cha maisha kisiasa. Sitasema mengi katika uzi huu zaidi ya kumwomba Dr. Slaa aanzishe chama chake kipya cha siasa nje ya vyama vya siasa vilivyopo kwa sasa ili aendeleze mapambano dhidi ya ufisadi baada ya uchaguzi mkuu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.