Baada ya kutapatapa huku na kule na kushuhudia jinsi alivyoshusha
heshima yake na kudharauliwa na wananchi Dr. Slaa kaamua kukimbilia tena
Marekani na kuwatakia watanzania uchaguzi mwema.
Dr. Slaa hapa
karibuni heshima yake ilishuka sana, baada ya kuanza kutumiwa na CCM.
Maskini sasa hivi baada ya kuona hana impact tena wameamua kuachana naye
jumla na yeye kuamua kurudi Marekani kwa aibu...
Mytake: Hiyo ndio dhambi ya usaliti. Kamwe hawezi kuishi kwa furaha
Source: Raia Tanzania... 16.10.2015
By by Ocampo four
Mytake: Hiyo ndio dhambi ya usaliti. Kamwe hawezi kuishi kwa furaha
Source: Raia Tanzania... 16.10.2015
By by Ocampo four


Note: Only a member of this blog may post a comment.