Sunday, October 25, 2015

Anonymous

Breaking News: Wananchi wa Kituo Hiki Jijini Dar Bado Hawajaanza Kupiga Kura Hadi Muda Huu!

Kituo cha Kimara Mavurunza bado mpaka sasa wananchi hawajaanza kupiga kura kutokana na ukosefu wa vifaa vya kupigia kura. 
#‎kyUpdates‬ Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.