
Mgombea wa urais wa TLP, Maximillian Lyimo ameshindwa kupiga kura yake leo Kituo cha Njia Panda.
NEW UPDATES:
#kyUpdates Mgombea Urais wa TLP Macmillan Lyimo ameshindwa kupiga kura kwa kukosekana kwa fomu no.19 inayomruhusu kupiga kura akiwa nje ya jiji la Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.