Sunday, October 11, 2015

Anonymous

Baada ya Kushinda Tuzo Tatu za AFRIMMA 2015, Mwanamuziki DIAMOND Asema Haya Kuhusu Mziki wa Tanzania

Diamond Platnumz Ameweka Ujumbe Huu Katika Page yake ya Instagram:
"Dah, I realy don't know What to say ...
dha! hata sijui nizungumze nini...
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.