Sunday, October 11, 2015

Anonymous

Mwanamuziki VANESSA Mdee Nae Ametutoa Kimasomaso Watanzania Tuzo za AFRIMMA 2015...Apata Tuzo Hii!

Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuchukua Tuzo Tatu za Afrimma 2015, Vanessa Mdee Nae Ameibuka Kidedea....
#KutokaDallas @VanessaMdee ameshinda tuzo ya msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki. #Afrimma2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.