Sunday, October 18, 2015

Anonymous

Aliyewashambulia Polisi Auawa [+PICHAZ]

881
Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu.
2
…Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi.
3
Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya kuchomwa kisu na mwanaume huyo.
6
Polisi wakiwa na mwanaume huyo baada ya kumpiga risasi.
88
Polisi wakiendelea kumsadia mwenzao baada ya kumuuwa mwanaume huyo (aliyelala kushoto).
POLISI  wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanaume Mpalestina mjini Jerusalem baada ya kuwashambulia.
Waziri wa Nchi za Nje, Marekani, John Kerry amewapigia simu Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu pamoja na Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas na kuwataka kuleta utulivu.
Chanzo: Daily Mail.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.