Abdul Kiba amedai ameitwa na klabu ya Simba ili kufanya majaribio ya kuichezea timu hiyo.
Akizungumza na Bongo5 jana, Abdul Kiba alisema ikitokea atapewa nafasi ya kuichezea timu hiyo atacheza.
“Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa nitawajulisha.”
“Yeah bana nimeitwa na Simba, mimi ni mchezaji sio kocha, kwahiyo ukisikia nimeitwa ujue ni kuhusu kucheza. Bado sijakaa nao chini na kuzungumza ila nikifanikiwa nitawajulisha.”
-via bongo5
Note: Only a member of this blog may post a comment.