Monday, October 12, 2015

Anonymous

15 PICHAZ za Mkutano wa Yusuph MANJI wa CCM Akiomba Kura za Udiwani Mbagala!

Headlines za majina ya watu maarufu kuingia katika siasa na watu kutoka katika tasnia tofauti tofauti imekuwa kawaida kwa mwaka 2015. October 11 uwanja wa Mbagala Zakhem mwenyekiti wa klabu ya Dar Es Salaam Young African na mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji ilikuwa ni siku yake muhimu ya kunadi sera zake za kuomba nafasi ya kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu. Hizi ni picha za mkutano uliyofanyika October 11, aliyoyasema utayasikia katika Amplifaya ya Clouds Fm.

Yusuph Manji akiwasili katika mkutano

Yusuph Manji akisalimiana na makada wa CCM kabla ya kupanda jukwaani.

Manji akiteta jambo na moja kati ya viongozi wa chama

Ukafika wakati wa kunadi sera zake kwa wananchi wa Mbagala

Manji akiwa na kitabu ambacho kina kila kitu alichoahidi kufanya kama watamchagua kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala Issa Mangungu

Mgombea ubunge wa Ilala Mussa Zungu


Msami alikuwepo kutoa burudani

Tunda Man akitekeleza jukumu lake la utoaji wa burudani




Queen Darleen na dancers wake



Mo Music katika stage

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.