Wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanaowania tuzo za Afrimma
wameungana kufanya wimbo rasmi wa tuzo hizo (Afrimma Theme Song).
Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika
Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz
(Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria),
Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), Vanessa
Mdee (Tanzania) na Toofan (Togo).
Tuzo za ‘2015 African Muzik Magazine Awards’ zinatarajiwa kutolewa Octoba 10 huko Dallas, Marekani.
Cheki au download wimbo huo hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.