Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, September 11, 2015
Anonymous
Waziri BERNAD MEMBE Awachimba MKWARA Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa [VIDEO]
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe awataka waangalizi wa uchaguzi wa ndani na nje kuzingatia sheria na taratibu za Tanzania. Nmekuwekea video ya taarifa hiyo hapa, waweza bonyeza play kuicheki au downoad kuipakua
Note: Only a member of this blog may post a comment.