Saturday, September 12, 2015

Anonymous

TCRA Yawaonya Channel Ten Kwa Kuonesha 'Live' Maelezo ya Askofu GWAJIMA Dhidi ya Tuhuma za Dr SLAA


Nimesikia sasa hivi kupitia Voice of America (Idhaa ya Kiswahili). TCRA waliwaonya Channel Ten kwa kuonyesha 'live' maelezo ya Askofu Gwajima akijibu tuhuma za kichochezi za Dr Slaa!
Hili Taifa linahitaji kufanyia 'overhaul' wala sio mabadiliko tena, maana naona kama mabadiliko hayatoshi kabisa!

Kesho yake ikumbukwe Magazeti karibu yote yameandika stori ya Gwajima tena kurasa za mbele. Sasa unaweza kujiuliza ni kwa nini kutangazwa 'live' kuwe nongwa lakini kuandikwa kusiwe 'nongwa'?
Hakika mabadiliko ni lazima nchi hii.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.