Katika list ya Forbes Oprah Winfrey alishikilia nafasi ya kuwa mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi kupitia vyanzo mbalimbali ambavyo vinamwingizia fedha.
Mwaka 2014 mtoto wa Rais wa Angola aitwaye Isabel Dos Santos alimpita Oprah na kukamata nafasi ya kwanza mpaka sasa.
Hawa ndio wanawake watatu weusi ambao wanaongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi duniani…
Isabel Dos Santos–Huyu ni binti wa Rais wa Angola ambaye kwa sasa ndiye amevunja rekodi ya kuongoza kwa kuwa mwanamke mwenye utajiri wa dola bilioni 3.3, amewekeza katika mabenki na kampuni za simu.
Oprah Winfrey-Ni Muamerika mweusi ambaye anashika nafasi ya pili kwa utajiri akiwa na kiasi cha dola bilioni 3 zinazotokana na kampuni ambazomiliki pamoja na kipindi cha TV show.
3.Folorunsho Alakija kutuka Nigeria anakamata nafasi ya tatu kwa utajiri unaofikia kiasi cha dola bilioni 1.9, anamiliki makampuni ya mafuta pamoja na kufanya mitindo

Note: Only a member of this blog may post a comment.