Monday, September 7, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia NEYMAR Alipokutana na Pacha wa Mcheza Tennes New York…


Winga wa kimataifa wa Brazil na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ameingia katika headlines akiwa New York, Neymar ambaye yupo New York na timu yake ya taifa ya Brazil, ameingia katika headlines baada ya kupigwa busu na ndugu wa mcheza tennes kutokea Canada.

Neymar akipigwa busu na Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard
Beatrice ambaye ni pacha wa Eugenie Bouchard alipiga picha akimpiga busu staa wa Brazil Neymar wakiwa katika uwanja wa Red Bull Arena wakati ambapo Brazil walikuwa katika harakati za kucheza mechi ya kirafiki. Picha ambayo imekuwa stori katika mitandao ya kijamii.


Beatrice na Eugenie Bouchard

Mcheza tennes wa Canada Eugenie Bouchard

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.