Wakiwa na kumbukumbu ya kutolewa mapema na kwa aibu msimu uliopita
kwenye michuano ya Capital One – wakifungwa na timu ndogo ya MK Dons,
klabu ya Manchester United leo imejitupa uwanjani kukipiga dhidi ya
Ipswich Town.
United leo wamefanikiwa kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Ipswich katika mchezo uliochezwa katika dimba la Old Trafford.
Na
katika dakika ya 90+2 mshambuliaji mpya wa timu hiyo ya Manchester
United Anthony Martial akaweka kimiani goli la tatu na kuiwezesha timu
yake kwenda mbele katika hatua ya raundi ya 4 ya Capital One.
Note: Only a member of this blog may post a comment.