Thursday, September 24, 2015

Anonymous

Ratiba Kamili ya Raundi ya 4 Capital 1 – Vigogo MAN UTD, CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, LIVERPOOL Kuumana na Nani? Cheki Hapa


Baada ya mechi za raundi ya 3 ya michuano ya kombe la ligi maarufu kama Capital One kumalizika usiku huu, imetolewa ratiba ya hatua inayofauta ya michuano hiyo.
 Manchester United baada ya kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Ipswich Town, sasa watacheza na  Middlesbrough nyumbani Old Trafford.
 Arsenal baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur sasa itacheza na Sheff Wednesday, wakati Liverpool au Carlisle watcheza dhidi ya Bournemouth – baada ya mchezo wa marudiano baina yao kutoa mshindi.
 Chelsea watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Stoke City baada ya leo kuitoa Walsall kwa kuifunga 4-1.
Manchester City wataumana na Crystal Palace.
RATIBA NZIMA YA RAUNDI 4 CAPITAL ONE
 

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.