Vigogo wengine wa England, vilabu vya Chelsea na Liverpool wakiwa
kwenye viwanja tofauti nchini humo, leo walikuwa wakitafuta nafasi ya
kucheza kwenye raundi ya kombe la Capital One.
Kwa upande mwingine, Liverpool walibidi kucheza kwa dakika 120 dhidi
Carlisle ili kuweza kusonga mbele kwenye michuano hiyo – baada ya
kumaliza dakika 90 kwa sare ya 1-1. Danny Ings akiwa mfunga upande wa
Liverpool dakika ya 24 na Derek Asamoah akaisawazishia Carlisle dakika
ya 35.
Mechi imeamuliwa kwa mikwaju ya penati ambapo Liverpool wamefanikiwa kushinda kwa penati 3-2.
Note: Only a member of this blog may post a comment.