Ziara
za wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado
inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake John
Magufuli leo walikua wakizungumza na wapiga kura wa Musoma Mjini kwenye
uwanja wa Mkendo.
Viongozi,Wazee
na makada mbalimbali walipata nafasi ya kuongea akiwemo Jaji Sinde
Warioba,Naibu Waziri wa Fedha na Naibu katibu mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi Mwigulu Nchemba,Steven Wasira na viongozi wa Mkoa.
Nimefanikiwa kukurekodia kipande kidogo mtu wangu wakati Mgombea Urais Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma Mjini.
Bonyeza play kusikiliza.

Note: Only a member of this blog may post a comment.