Tuesday, September 22, 2015

Anonymous

Picha 4 nje ya Mahakama Baada ya Mwimbaji wa Gospel, Emmanuel MBASHA Kushinda Kesi ya Kubaka!

Moja ya stori kubwa iliyogusa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania ni ishu ya Hukumu ya kesi ya Mwimbaji wa Gospel Tanzania, Emmanuel Mbasha ambapo alikuwa anakabiliwa na Kesi ya kumbaka shemeji yake na kesi imekuwa Mahakamani tangu mwaka 2014.
Tayari hukumu ya Kesi hiyo imetolewa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam leo, Mwimbaji huyo ameachiwa huru baada ya Mahakama kumkuta hana hatia kwenye Kesi hiyo.



Source: Millard Ayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.