Friday, September 25, 2015

Anonymous

Pacha wa MASOGANGE Aombwa Penzi, Agoma, Atishiwa Kufanyiziwa!

Asha Salum ‘Kidoa’
Na Mayasa Mariwata
Modo anayefiti kuvaa viatu vya Agnes Masogange, Asha Salum ‘Kidoa’ amedai kuna kigogo mmoja amekuwa akimtaka kimapenzi lakini kila anavyojaribu kumkatalia, anamtishia kumfanyizia. 

Kidoa juzikati aliliambia Ijumaa kuwa, kigogo huyo ambaye kwa sasa hawezi kumtaja jina lake aliwahi kumpigia simu na kutaka kuonana naye kwa maelezo kuwa, anataka kumpa dili.
“Sikutaka kukutana naye, nikamuuliza dili gani, hakuniambia lakini mara akaanza kuniomba penzi, nilimwambia nina mtu wangu na sitaki anisumbue, amekuwa akinipa vitisho, hapa nilipo nina mpango wa kwenda polisi kushtaki,” alisema Kidoa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.