Nani amesema 50 Cent amefilisika? Rapper huyo ameonesha nyumba yake ya kifahari anayoimalizia kuikamilisha.
Rapper huyo ameshare video ya mjengo huo kwenye Instagram na kuandika: My
crib is almost finished in AFRICA. I’m gonna have the creziest House
warming party ever. I’ll explain later I got a good life
Man.#EFFENVODKA#FRIGO#SMSAUDIO”
Ingawa hakusema nyumba hiyo ipo nchi gani hapa Afrika, 50 ‘ametupia’ picha nyingine inayoonesha sehemu ya nje.
Hivi karibuni msanii huyo alitangaza kufilisika baada ya kuamriwa na
mahakama alipe faini ya dola milioni 5 kwa mwanamke aliyemshtaki
kutokana na kusambaza mkanda wake wa ngono.
Tazama picha zaidi za mjengo huo hapo chini.
Note: Only a member of this blog may post a comment.