Wednesday, September 2, 2015

Anonymous

MAKUBWA aliyoyazungumza Mgombea Urais kupitia CCM John Magufuli Mtwara Sept 02 (Audio+Picha)

1mgfl 
Headlines za Tanzania kwa sasa ni kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015,Wagombea wa nafasi mbalimbali wanapita kila sehemu,kila Mkoa,kila Wilaya kunadi sera zao ambapo leo Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi kwenye nafasi ya Urais John Magufuli ameongea na wapiga kura wa Mtwara.
4mgfl
2mgfl 
Kwenye hotuba yake Mheshimiwa Magufuli kuna maeneo ambayo aliamua kuyazungumzia kwamba akifanikiwa kuwa Rais wa nchi hii ni miongoni mwa mambo atakayoyashughulikia,mambo hayo ni pamoja na mikopo ya Wanavyuo,Kuporwa na kuuwawa kwa Polisi,nimekurekodia pia mtu wangu.
3mgfl
5mgfl
Bonyeza play kumsikiliza.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.