Wednesday, September 2, 2015

Anonymous

Full video ya Dr. SLAA akieleza yote kuhusu CHADEMA na LOWASSA


Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Wilbroad Slaa alisimama mbele ya Waandishi wa habari Sept 1 2015 Dar es salaam kueleza mambo yote yaliyochangia ukimya wake na kutosikika toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA, mtazame kwenye hii video hapa chini.
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.