Saturday, August 1, 2015

Anonymous

DUNIA IMEKWISHA! Mwanaume Huyu Asambaza UKIMWI Kwa Makusudi...Hii Ndio Hatua Aliyochukuliwa!


Man-Arrested-in-Handcuffs1
Nimekutana na stori kutoka Iceland inayomhusu mwanaume mmoja kutoka Nigeria ambaye amekamatwa na polisi kwa madai ya kusambaza ugonjwa wa UKIMWI kwa makusudi.
Mwanaume huyo ambaye jina lake bado halijajulikana ni raia kutoka Nigeria ambaye amekuwa akijaribu kupata uraia wa sehemu hiyo toka mwaka 2014. 

Kwa mujibu wa ripoti kutoka  kituo cha police cha Iceland, Iceland Review Report imesema:
>>>“sehemu kubwa ya upelelezi tunaoufanya sasa hivi ni kujua kama wanawake wengine wamekutana kimwili na huyu mwanaume zaidi ya ile idadi tulionayo kwenye ripoti zetu…”<<< Iceland Police. 

>>>“taarifa zingine za matukio ya kiualifu ya mwanaume huyu bado zinakusanywa. Kwa sasa shitaka kubwa dhidi yake ni kujihusisha na vitendo vya kimapenzi kwa nia ya kusambabza ugonjwa wa UKIMWI- kitendo ambacho kikithibitishwa kitakuwa ni kinyume na sheria zetu za nchi”. <<< Iceland Police.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.