Vurugu MARA: Msafara wa HECHE Wavamiwa, Mwanachama Mmoja wa CHADEMA Afariki


Kwa namna hii nishaona kila dalili za ICC...Too sad!
" Msafara wangu umevamiwa na wanaccm wakati nikitoka kijiji cha Mangucha kwenda Kegonga watu wetu wameumizwa na mmoja amefariki dunia" Msg ya Heche kanithibitishia sasa hivi....
Source: Jamii Forums
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.