Thursday, September 17, 2015

Anonymous

MAFUFU: Siwezi Kuhama UKAWA

jimmyymafufucut
Shani Ramadhani
NYOTA wa filamu Bongo, Jimmy Mafufu amefunguka kuwa hawezi kuhama Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwa sababu kila upande wa siasa una changamoto zake.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Mafufu alisema kutokana na namna siasa zinavyokwenda, mtu hatakiwi kuwa wa kuhamahama kila siku kwa ajili ya kitu fulani wakati kila sehemu kuna changamoto zake.
“Nilihama CCM na kuja Ukawa kwa sababu mambo mengi yanayohusiana na tasnia ya filamu yalikuwa hayatekelezeki ipasavyo, nimekuja huku naamini hata kama hatutapiga hatua leo, kesho ipo  hivyo siwezi kuhama kwenda kwingineko,” alisema Mafufu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.