Saturday, September 12, 2015

Anonymous

LUSINDE Amshambulia Vibaya LOWASSA...Asema Kichwani Hayuko Sawasawa Maana Kichwa Kimejaa UJI Badala ya Ubongo! Sikiliza Hapa Live!

Mgombea Ubunge Jimbo la Mtera, kupitia Chama cha Mapinduzi,Livingstone Lusinde, amesema mawaziri wakuu wastaafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa hawapo sawa sawa kichwani kwa kuwa vichwa vyao vimejaa UJI Badala ya Ubongo.
Lusinde amesema anamshangaa Sumaye kwani amepata maisha mazuri akiwa CCM,amesomesha watoto wake akiwa CCM,na kwamba Sumaye hana sifa za kuitukana CCM.
Msikilize hapo chini (Play au Download).

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.