Kabla ya kuanza kwa mechi ya tatu ya klabu ya Simba ya Ligi Kuu Tanzania bara ambayo ya kwanza kwa msimu huu ikicheza taifa kama uwanja wake wa nyumbani dhidi ya klabu ya Kagera Sugar. Nakusogezea karibu yako Line Up ya timu zote mbili Simba SC Vs Kagera Sugar.
Kikosi cha Simba
Peter Manyika 35
Hassan Isihaka 26
Mohamed Hussen 15
Emery Nimuboma 2
Simon Serunkuma 7
Justice Mjabvi 28
Awadhi Juma 16
Said Hamisi Juma 13
Peter Mwalyanzi 3
10.Ibrahimu Ajibu 23
11.Hamis Kizza 5
Wachezaji wa akiba
1. Vicent Angban 22
2. Hassan Hamisi Ramadhani 4
3. Said Issa Mohamed 12
4. Mwinyi Kazimoto 8
5. Pape Ndaw 25
6. Boniface Maganga 9
7. Joseph Kimwaga 19
Kocha wa Simba: Dylan Kerr
Kikosi cha Kagera Sugar
Agathon Anton 1
Salum Kanoni 2
Said Hassan 23
Ibrahim Job 5
Deogratius Julius 3
George Kavilla 15
Iddy Kurachi 29
Laulence Mugia 13
Mbaraka Yussuph 24
Daudi Jumanne 12
Paul Ngaliyoma 8
Wachezaji wa akiba
Abuu Hashim 18 GK
Aboubakari Mtilo 20
Erick Kihaluzi 16
Babuu Ally 4
Keneth Masumbuko 14
Lambele Jarome 22
Rashid Loshuwa 10
Kocha: Mbwana Makata
Mkude akimpa pesa Denis alizopewa na mashabiki ili arudi akapige picha na mashabiki
Mkude akipiga picha na mashabiki waliochanga fedha na kumpa wakati anaingia uwanjani
Kocha wa Kagera Sugar akifanya mahojiano kabla ya mechi kuanza
Kiiza akisali kabla ya kuingia kufanya warm Up
Kimwaga na Kiiza wakijiandaa kufanya na mechi
Waamuzi wakiingia kufanya warm up

Note: Only a member of this blog may post a comment.