Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Saturday, September 26, 2015
Anonymous
CCM Hatari Sana! Kutana na Staili 4 Kali Tofauti za Kuomba Kura 2015...Na Utekelezaji Ungelikua Hivi Ingekua Poa Sana!
Mambo yakiwa magumu unahitajika kuwa mbunifu. Zifuatazo ni staili tofauti zinazotumika na wanaCCM kuomba kura tena kwa wananchi. Wanatia huruma sana. Staili hizi huwezi kuzikuta Ukawa. Cheka kidogo basi
Note: Only a member of this blog may post a comment.