
"Wasanii wa Tanzania, wakati tunatetea kazi zenu kurasimishwa ili mfaidi jasho lenu, hawa mnaowaimbia leo hawakuinua mdomo wao kuwatetea. Kampeni zikiisha na thamani yenu imeisha. Tulipopaza sauti kupinga unyonyaji wa makampuni ya simu kwenye RBT hawa wanaoahidi kuwatetea leo hata habari walikuwa hawana. Naomba mtafakari sana hatma ya tasnia yenu." Ameandika hayo katika akaunti yake ya Instagram muda mfupi leo.
Una maoni gani?! Funguka hapo chini tafadhali!

Note: Only a member of this blog may post a comment.