Thursday, August 6, 2015

Anonymous

VIDEO ya sekunde 15 inayoonesha kilichomo ndani ya chumba cha mtoto ajaye wa Diamond na Zari…

 
Kwenye kuzi count zile siku ambazo Diamond Platnumz alizitamka kuwa tumtegemee kuitwa Baba leo kaamua kushare picha za chumba cha mtoto wao huyo wanaemtegemea yeye pamoja na Mpenzi wake Zari.

Diamond kwenye video ambayo amepost kwenye mtandao wa picha wa Instagram ameonyesha anachezea viatu vya mtoto huyo huku tukionyeshwa mandhari ya chumba hicho.
Bonyeza play kutazama video hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.