August
17 2015 yalitambulishwa rasmi kwa Watanzania mabasi yatakayo safirisha
abiria kwa haraka zaidi kutokana na kupita kwenye barabara yake maalum,
ni mradi ambao una miaka zaidi ya 10 toka umeanza kufanyiwa kazi.
Pamoja na kufanikiwa kufika
walipofika….. Mabasi haya yaliyojaribiwa milango ya abiria kushuka na
kupanda iko kushoto hivyo abiria wanalazimika kushukia na kupandia
upande tofauti na ilivyotakiwa, tazama hii video hapa chini.

Note: Only a member of this blog may post a comment.