
Heshima Kwenu. Nimesoma na Kuona Kwenye Media Kwamba Kuna Wagombea 'Wamepita Bila Kupingwa'. Hawajapigiwa Kura.
Wamehonga Wagombea Wengine Au Wameweka Pingamizi Feki Wakakubaliwa?!
Wametangazwa Washindi Na Kupewa Pongezi Mfano Filikunjombe Wa Ludewa Amemshinda Nani? Wana Uhakika Hata Rufaa Watashinda? NEC Ni Janga!

Note: Only a member of this blog may post a comment.