Baada ya Nuh Mziwanda kumchimba mkwara Idris Sultan kuwa aache
kumsumbua mpenzi wake Shilole, mshindi huyo wa BBA Hotshots amemjibu kwa
kuandika post ndefu ya kijeuri Instagram.
Hiki ndicho ameandika Idris:
“Kati ya vitu sisubiri kuambiwa ni ikiwemo kuwa am social. Tabia
yangu ikiwemo kupenda watu na kufanya mazungumzo na wengi. Sasa
unapokuja na agenda za nje kwangu nakukaribisha sio kuwa sikujui ila
nakuvumilia na kukupa mda wa kujirekebisha. Kama mwanaume uliyekamilika
huwezi kuja insta kiholelaholela kulalamika kuwa mwanamke wako
anasumbuliwa,
1. Huna namba yangu
2. Mbona mwanamke wako hasemi
3. Ulikua unafanya nini kwenye simu yake kukagua message au na pochi unambebea
4. Naanzia wapi kumsumbua mwanamke wako, hivi umemuona wangu kwakweli ?
5. We ni mwanamziki au muuza magazeti mbona uswahili sana ?.

Ukitaka
kumsumbua wangu sikukatazi ila njoo na dictionary. Watu tuna amani na
upendo ila vipepeo vyako vinaweza kuleta unnecessary riots. Najulikana
Africa nina mashabiki wanaonipenda na walionichagua na nina ndoto zangu
na zao za kutimiza ukijua levo uliyopo na levo niliyopo angalau siku
ukijulikana hata kinondoni vizuri basi utajua kina nani wa kuwaheshimu
na nani wa kuwapigia kelele.
Shishi baby boo lovie sweetie we will support you all day everyday regardless ya wrong choice of men uliyoifanya hapa.” – Idris Sultan
Shishi baby boo lovie sweetie we will support you all day everyday regardless ya wrong choice of men uliyoifanya hapa.” – Idris Sultan
Hii ndio ilikuwa comment ya Nuh ambayo Idris ameijibu:
Note: Only a member of this blog may post a comment.