Ray C amedai kupata msaada kutoka Ujerumani utakaosaidia kuandaa documentary ya maisha yake.
Ray C ametangaza habari hiyo njema kwenye Instagram.
Sitakiwi kuongea ila kwa sababu Documentary inakamilika muda si
mrefu nimeona niwambie tu kuwa Ray C Foundation imepata Donor mkubwa
sana kutoka Germany.na tayari tumeshaanza kushoot Documentary ya maisha
yangu ya Uteja!Documentary hii inanihisu Mimi kama mwanamuziki
itaonyesha jinsi gani nilivyoanza kuvuta madawa ya kulevya na majanga
yote niliyofanya ili niweze kununua unga na mengi sana mabaya
niliyokutana nao kipindi niko hoi na unga

Note: Only a member of this blog may post a comment.