Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya
Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa
White House Makao Makuu Dodoma.
Alhaj Kimbisa amekanusha uvumi uliosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameihama CCM. Kushoto ni Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na KAtibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahmana Kinana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo ataongoza vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati kuu ya CCM vitakavyofanyika katika ukumbi wa White House Makao Makuu Dodoma.

Note: Only a member of this blog may post a comment.