Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia).
Katika harakati za kuelekea uchaguzi
mkuu utaofanyika Oktoba 25 siku ambayo kila mtanzania aliyekuwa na umri
wa kuanzia mika 18 na kuendelea itakuwa ni siku yake muhimu ya kupiga
kura na kumchagua kiongozi anayemtaka, kuelekea uchaguzi mkuu wagombea
12 walichukua fomu za kuwania nafasi ya Urais.
August 21 ilikuwa ni siku ya wagombea
wote 12 kurudisha fomu za kugombea Urais ila kitu kilichovutia ni kila
mgombea alivyokuja kurudisha fomu akiwa katika muonekano tofauti huku
wakiwa wamevalia mavazi ambayo yalivutia, wapo waliokuja wamevalia sare
za chama chake kama mgombea Urais kupitia chama cha mapinduzi CCM John
Pombe Magufuli ambaye aliwasili hapo akiwa na mgombea mwenza wake mama
Samiah Suluhu Hassan wakiwa wamevalia sare za CCM.
Hizi ni picha za muonekano tofauti kwa wagombea wengine

Note: Only a member of this blog may post a comment.