Kingwendu akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi ya CUF.
Katika hali ya kuonyesha kuwa UKAWA
imedhamiria kushika dola, mgombea wa ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi
ya Chama Cha wananchi (CUF), Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ jana
amechukua fomu ya ubunge na kuahidi kuwa muda wa kwenda kubutua mijicho
yake na kutoa ulimi nje umewadia, huu ndio muda wa heno heno.

Note: Only a member of this blog may post a comment.