Toka Mbeya
Leo hii majira ya saa 11:30 hrs majambazi 4 wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha SMG na STERLING GUN walivamia mfanyabiashara mmoja dukani kwake Tunduma, wilaya ya Momba ambako, waendesha bodaboda wakiripoti tukio hilo ujambazi, bila kuchelewa wananchi kwa kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana na majambazi hao (Live) na mapambano hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na mwisho wa mapambano majambazi walizidiwa nguvu na walikamatwa na bunduki zao wametiwa mbaroni.

Note: Only a member of this blog may post a comment.