*Boresha mfumo wa elimu nchini.futilia mbali elimu mbovu iliyopo saizi
*Boresha masilahi ya wafanyakazi especially walimu
*tokomeza rushwa,ufisadi na ulanguzi
*tatua tatizo la ukosefu wa ajira
*boresha kilimo na viwanda
*Ondoa sera ya kujuana na kupeana vyeo hovyohovyo
*Boresha jeshi la polisi na kurudisha imani yake kwa wananchi
*boresha sekta ya afya na kutuma zake...
Ukiwa kama mtanzania na unayeipenda nchi yako basi waweza kuongezea mengine unayoona yanafaa zaidihapo chini kwa comment ox tafadhali! PAZA SAUTI UKIMYA HAUSAIDII!

Note: Only a member of this blog may post a comment.