Katika shindano la Kinondoni Talent Search, Peter Msechu ambaye alikua Jaji wa shindano hilo amesema si kweli ametengeneza uadui kati yake na washiriki wa shindano hilo.
Amesema anafahamu pressure ya mashindano hayo na amefanya kazi yake
kama msanii kwa wale ambao ameona wana kiu ya kufika mbali katika sanaa
hiyo.
Amesema si kweli alimkasirisha Rais kama ambayo watu wanadhani, bali
aliona ni busara Rais awaone washindi na kuongea neno juu yao…na kitendo
cha kuondoka kwake kabla ya muda alikua amechoka na kuwa na ratiba
nyingine.
Msikilize hapa….
Note: Only a member of this blog may post a comment.