
- Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara
za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia
Mcheza Ngoma alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na
ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Mgomea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Vijijini, Profesa
Sospeter Muhongo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma,
kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwanadi
wagombea Ubunge, wa majimbo ya Tarime, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika leo Sirari mkoani Mara. Kulia ni Chrisopher Kangoye (Tarime
Vijijini) na kushoto ni Michael Kimbaki (Tarime Mjini).
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeniuliofanyika Sirari, mkoani
Mara.
Wananchi
wakionyesha bango kutaka Sirari kuwa Mamlaka ya Mji Mdogo, wakati wa
mutano wa kampeni uliofanyika katika eneo hilo mkoani Mara.
Wananchi
wakipiga 'Push Up' kumuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk.
John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, uliofanyika Sirari mkoani
Mara.
Mgombea
Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan,
akimwelekeza jambo, Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini, Michael
Kimbaki, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sirari mkoani Mara.
Kulia ni Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Vijijini, Chrisopher Kangoye.
Msanii
wa Bongo Movie, maarufu kwa jina la Bi Mwenda, akihamasisha wananchi
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo, Sirari mkoani Mara.
Mgombea
Mwenza wa urais kwa tiketi y CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwaaga
baadhi ya viongozi, baada ya mkutano wa kampeni aliofanya leo, Sirari
mkoani Mara.
(Picha na Bashir Nkoromo).
Note: Only a member of this blog may post a comment.