Moja ya ahadi za Rais Magufuli ni kujenga barabara za juu kwenye jiji la Dar es salaam kwenye maeneo ya Ubungo na TAZARA,
sasa wakati tunasubiri kuziona hizo barabara za juu najua wengi wetu
hatujui hata wanazijenga vipi ndio maana nimekuletea hii video hapa
chini ujionee.
Note: Only a member of this blog may post a comment.